So sad my country

Naumia Sana kuona wasomi,wataalamu na wafasili wa lugha kutoka nchi yangu. Tokeni mkutane na wachina,wahindi,waarabu na race nyinginezo yai wanaloongea. Unakuta msomi ananicheka Mimi kuwa siwezi lugha muda huouo kampuni ninayo hudumikia inanitegemea kwenda kuwawakilisha kuwa Mimi ndio mkali wa lugha tegemewa. Kutoka katika kampuni yangu.

God pleas turn back to see my brother in my country and teach them to be the best not first.

God pleas= God please.
My brother= my brothers
 
Naumia Sana kuona wasomi,wataalamu na wafasili wa lugha kutoka nchi yangu. Tokeni mkutane na wachina,wahindi,waarabu na race nyinginezo yai wanaloongea. Unakuta msomi ananicheka Mimi kuwa siwezi lugha muda huouo kampuni ninayo hudumikia inanitegemea kwenda kuwawakilisha kuwa Mimi ndio mkali wa lugha tegemewa. Kutoka katika kampuni yangu.

God please turn back to see my brothers in my country and teach them to be the best not first.
Kuna Uncle mmoja aliniambia nijitahidi sana kujua Kiingereza.

Alinipa mfano mmoja walienda na bosi wake Sourh Africa kwenye mikutano, sasa yule bosi hajui Kiingereza vizuri.

Wale wa South katika ku "crack the ice", wakawa wanatoa jokes kwa Kiingereza. Wanacheka.

Bosi hajui wapi pa kucheka, kucheka mpaka amuangalie Uncle wangu anacheka wapi na yeye ndiyo anacheka.
 
Sasa je! Mi mwenyewe ndio napiga online course hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom