Hee jamani ebu mwageni maushauri hapo,utawasaidia na wengine wengi walio katika tatizo kama langu,ukiona vp PM,niko online,sorry namba haitoki kwa sababu za kiusalama ha ha ha
Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
You are not alone babe!you can chat with darling-toneHee jamani ebu mwageni maushauri hapo,utawasaidia na wengine wengi walio katika tatizo kama langu,ukiona vp PM,niko online,sorry namba haitoki kwa sababu za kiusalama ha ha ha
Jaman where r u mzabzab?
ah sema posh...nimetua ebu ngoja nimpe company bidada
bora, nmekutaftajee!! Ila dada hatoi namba za simu sasa cjui itakuaje
ah ngoja tuone i like a challenge
Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
Hee jamani ebu mwageni maushauri hapo,utawasaidia na wengine wengi walio katika tatizo kama langu,ukiona vp PM,niko online,sorry namba haitoki kwa sababu za kiusalama ha ha ha
You are not alone babe!you can chat with darling-tone
Hii ndiyo Jf, uki-join hauchagui rubani.unakaa kwenye seat yako, unafunga mkanda, unafuata maelekezo mpaka mwisho wa safari.Upo hapo?No where I told you that I am in lonliness, neither looking for some body.