Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimeipenda hii channel na nilii-bookmark jana, pia niliicheki ile ya kipanya, jamaa anakwambia wanakula mpaka miguu. Ila kipanya anaupeo wa hali ya juu sana katika kujitambua na kuelewa mambo.Hii channel imenifurahisha sana, sasa hivi namuangalia Masoud Kipanya, anakwambia muda wowote anaweza kwenda Mozambique kuuza "pipi".
Mzee Russ kafika bei hapo, mademu wanugu kuona hivyo wakamjia juu siku moja midtown, wanamsema kwamba kabadili jina lifanane na "Hakuna Matata" kama katika Lion King, masikini hata hakuwaelewa, nikacheka sana tu.
Ananifurahisha kwa sababu hakuwa na privilege yoyote, Mtanzania wa kawaida kabisa kajaribu zali lake, limekubali, amefanikiwa, anajua kujieleza kwa kiwango chetu (kuliko wanasiasa wengi wakongwe ninaowajua)
Huyu kafika mbali sana, ila anahitaji handlers bado, kiaina.
Hii channel imenifurahisha sana, sasa hivi namuangalia Masoud Kipanya, anakwambia muda wowote anaweza kwenda Mozambique kuuza "pipi".