So disgusting...

So disgusting...

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Tanzania...Tanzania....Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana lakini watoto wako wamesahulika.

DSC_0547.JPG
 
Haya ni MASHAKA makubwa!

Yahee karibu gahawa, wakati watoto wanakaa chini.

Nchi- mawaziri takribani 25, na manaibu wao- makatibu wakuu kibao na wakurugenzi.
majimbi kibao kila hatua 5 jimbo. Unategemea nini?

bajeti yote ya serikali inaendesha serikali. Watoto wa wakubwa wanasoma shule za private zenye hadhi, hawa ni watoto wa walala hoi wanasoma shule za mifagio.

Eti serikali ya umoja wa KItaifa, puuuuuuuuuuuuuu😛anda::drum:
 
Tanzania...Tanzania....Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana lakini watoto wako wamesahulika.

DSC_0547.JPG

Naona kuna picha ya Obama sijui kama capture hii ni Tanzania?
 
Ha ha...Anazo sana sema haogopi kwani na yeye ana mkwanja wa kutosha tu,isitoshe January naye anaongezea!!
<br />
<br />
Ila Mungu mkubwa huwezi amini na makamba naye ana mtoto mkali namna hii..
 
Sikumbuki word by word lakini mara baada ya Tanganyika kujitawala J K Nyerere aligundua na kusema "UNYONGE WETU NDIO ULIOTUFANYA TUTAWALIWE NA KUDHULUMIWA. Ina maana kosa la kutawaliwa halikuwa kwa wakolono bali kwetu sisi wenyewe na unyonge wetu.
 
<br />
<br />
Ila Mungu mkubwa huwezi amini na makamba naye ana mtoto mkali namna hii..

Aah! wapi,hana mtoto mzuri wala nini(kawaida tu),maisha bora tu ndo maana anaonekana mzuri,labda ngozi yake ndo inang'aa,na kupewa promo na media ndo kunampa chat,wa kawaida tu...
 
Back
Top Bottom