Danny N
Senior Member
- Jul 19, 2011
- 115
- 25
Habari wakuu!
Naomba mtu mwenye ufahamu na hii organisation inayoitwa SNV World Organisation iliyopo hapa Tanzania. Maana niliomba kuvolunteer na wameniita kwenye interview ijumaa Dar es salaam na mimi nipo mkoani Ruvuma.
Kwa maana hiyo nilikua naomba mtu mwenye ufahamu au aliyewahi kufanya nao kazi anielekeze kama wanatoa malipo ukiwa unajitolea na interview zao zinakuaje? Maana nisije nikatumia gharama kubwa kwenda kufanya hiyo interview halafu mwisho wa siku nikajilaumu.
Natanguliza shukrani