Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Itakuwa vizuri sana mkuu kama utani PM namba zao ni fanye nao mazungumzo haraka iwezekanavyo.Hizo ngoma baba ongea na wasomali, wanakufikishia mpaka mlangoni kwa bei karibu na bure!...nikupe namba, ila usinitaje jina, we jishauwe naye kama unamjua mpaka kielleweke!:biggrin1: