Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
- Thread starter
- #41
Duh! hii topic inatisha! hivi kwa mtu wakawaida unaweza kupata hii hapa bongo? Na ulizia hivi maana nikiwa na kitu kama hichi kwenye mambo ya ujasiria mali lazima nitatoka tu.
Lol! nimecheka sana mkuu, wewe unachukua contract za kuanzia milioni mia mbili! nimemwambia Ab- anitafute nimpe kazi!:biggrin1:
Hapana shaka mkuu, ukifika we nibeep tu, kuna kazi kama mbili hivi! lol!Nikija Bongo lazima nitaku-beep tujadili bei...LOL!...:biggrin1:
Ndio mpango mzima huo.... Mwenye data za hii kitu atuwekee hapa tafadhali. Natamani kununua hii kitu aisee! kama kuna mtu anaweza kunipa infor za upatikani wake namna ya kuingiza hapa nchini tuwasiliane tafadhali.Lol! nimecheka sana mkuu, wewe unachukua contract za kuanzia milioni mia mbili! nimemwambia Ab- anitafute nimpe kazi!:biggrin1:
Wengine hatuui watu mama. Unaweza kufanya hivyo hata katika kuwinda wanyama kutafuta kitoweo. Hata hivyo bunduki zinazotumika sio kama hizo.i wish tungekua ktk ulimwengu usiohitaji haya mambo.
Ndio mpango mzima huo.... Mwenye data za hii kitu atuwekee hapa tafadhali. Natamani kununua hii kitu aisee! kama kuna mtu anaweza kunipa infor za upatikani wake namna ya kuingiza hapa nchini tuwasiliane tafadhali.
M107 .50 Caliber Long Range Sniper Rifle (LRSR)
The M107 provides a man-portable, materiel destruction capability to the sniper team and/or supported force and complements the anti-personnel precision fire capability of the M24 Sniper Weapon System (SWS). The M107, with a family of ammunition, enables sniper teams to employ greater destructive force at greater ranges and at a higher rate of fire that exceed the terminal effect capability of the M24 (7.62mm, bolt action) SWS.
The primary mission of this rifle is to engage and defeat materiel targets at extended ranges to include parked aircraft; command, control, communications, computers, and intelligence (C4I) sites; radar sites; ammunition; petroleum, oil and lubricants; and various other thin skinned (lightly armored) materiel targets out to 2000 meters.
The M107 will also be used in a counter sniper role taking advantage of the longer stand off range and increased terminal effect when opposing snipers armed with smaller caliber weapons out to 1000 meters.
The M107 is a semi-automatic, air-cooled, box magazine-fed rifle chambered for .50 caliber ammunition. This rifle operates by means of the short recoil principle, rather than gas.
The basic M107 rifle is equipped with bipod, muzzle brake, carrying handle, and 10-round removable magazine. The M107 system is composed of the rifle and a sniper scope, plus six spare magazines. The rifle is also supplied with a fitted dirt-tight and watertight carrying case, the requisite cleaning kit drag bag, cleaning equipment, and the telescope adjustment tools.
The M107 will replace existing non-standard, M82A1, caliber .50 rifles in Explosive Ordnance Detachments as detonation tools.
Jamani naomba jibu, nataka kuangiza huu mzigo kamainawezekana.... Maisha yamekuwa magumu sana Bongo, bila ujasiria mali hutoki!Duh! hii topic inatisha! hivi kwa mtu wakawaida unaweza kupata hii hapa bongo? Na ulizia hivi maana nikiwa na kitu kama hichi kwenye mambo ya ujasiria mali lazima nitatoka tu.
Jamani naomba jibu, nataka kuangiza huu mzigo kamainawezekana.... Maisha yamekuwa magumu sana Bongo, bila ujasiria mali hutoki!