Sniper Tactics!!!!

Hizo ngoma baba ongea na wasomali, wanakufikishia mpaka mlangoni kwa bei karibu na bure!...nikupe namba, ila usinitaje jina, we jishauwe naye kama unamjua mpaka kielleweke!:biggrin1:
Itakuwa vizuri sana mkuu kama utani PM namba zao ni fanye nao mazungumzo haraka iwezekanavyo.
 
machine zote hizo kwajilii ya kuua watu na manufacture ni mtu
kweli hii dunia ya mwisho
 
Mkuu Ab-Titchaz nashukuru kwa post zako za sniper ingawaje hizi ni tactics za close combat kwa majeshi yaliyoingiliana.
Sasa kama ni combat ya majeshi ndio wanaingija jamaa wa kazi-heavy guns.
Nakuletea hili 155mm Howitzer ambalo ni self propelled piece of artillery na ukiwa na kama kumi hivi yakiwa sambamba yaweza kuleka kasheshe kubwa.
m109a2-faasv.jpg
 
Siyo rahisi, believe me. Kuna factors nyingi zinazomfanya mtu awe sniper mzuri. Kwani unatakiwa uwe mvumilivu sana, uweze kutulia bila kusogea kwa muda mrefu. Halafu katika sniping pia kuna mambo mengi, clear vision, obstructions, inclination, wind speed and direction etc etc. Zaidi ya yote unatakiwa uwe na moyo mgumu, maana target yako unaiona kwa karibu mno wakati mwingine hata chunusi unaiona. Kazi hiyo inataka mazoezi ya muda mrefu.

Mkuu na wewe ni sniper nini? Manake duh!!!
 
Mkuu kuna kitu huwa sijaelewa kwenye targets

The right wing man of the sniper usually handles the binoculars/telescope and says words like '3 Oclock'; '2 Oclock'

I know they mean directions, but how does it relate to a direction??
 
1.jpg

Mkuu umeuliza swali muhimi sana ambalo hutumiwa na snipers na hata marubani kuelezea positions za adui aliye mbele.
Kama muelekeo wako ni ile centre of rotation ya mikono ya saa(pale hour na seconds hands) inapozunguka, basi kama adui yuko juu ya mtazamo wako basi hiyo ni 12 o'clock.
Kama adui yuko chini ya muelekeo wako basi ni 6 o'clock
Sasa kama yuko juu na slightly kulia basi hapo ni 2 o'clock
Vile vile kama adui yuko kushoto kabisa basi yuko 9 o'clock

Positions hizi hutumika sana na marubani angani ili kuelezea relative position ya ndege nyingine iliyo karibu.
 
ee Mungu tuhurumie. mtu hana hata kg 300 anaumwawa kwa silaha kali namna hii....................yaani masilaha yote haya yamewekewa binadamu tu simb anaumwawa kwa mkuki mtu kwa haya ma rifle????????
 
1.jpg

Mkuu umeuliza swali muhimi sana ambalo hutumiwa na snipers na hata marubani kuelezea positions za adui aliye mbele.
Kama muelekeo wako ni ile centre of rotation ya mikono ya saa(pale hour na seconds hands) inapozunguka, basi kama adui yuko juu ya mtazamo wako basi hiyo ni 12 o'clock.
Kama adui yuko chini ya muelekeo wako basi ni 6 o'clock
Sasa kama yuko juu na slightly kulia basi hapo ni 2 o'clock
Vile vile kama adui yuko kushoto kabisa basi yuko 9 o'clock

Positions hizi hutumika sana na marubani angani ili kuelezea relative position ya ndege nyingine iliyo karibu.
kama sio kuficha id humu tungekuwa na marafiki wazito sana humu,jf ni jungu kuu.
 
i truly love the army........nilichukia tu as siruhusiwi kuuliza maswali wala kuhoji amri ya 'afande' hata kama mimi naiona ya kipuuzi!........(guns and arms are my obsession,anyway!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom