Sniper Rifles

SirAlfred006

JF-Expert Member
Sep 21, 2020
509
1,210
Open forum.
Angusha picha kali ya sniper rifle na ukiweza pia na jina la rifle husika, nchi ilipoundwa na kadhalika.
Karibu.

20230314_204140.jpg
 
Naomba kujua, hiv miti design ile inapatikana maeneo gan hapa bongoland?
 
Kalatov buster manufacture huko kharkiv Ukraine inapiga shabaha kilometa 10

Risasi yake ina tabia ya kukata kona kutafuta targets

Inatumiwa na wanawake tu

Hata ikikukosa unakufa

Mtumiaji akishamaliza kuua inageuka pikipiki anapanda anakimbia
IMG_20230313_180621.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom