Siyo rahisi, believe me. Kuna factors nyingi zinazomfanya mtu awe sniper mzuri. Kwana unatakiwa uwe mvumilivu sana, uweze kutulia bila kusogea kwa muda mrefu. Halafu katika sniping pia kuna mambo mengi, clear vision, obstructions, inclination, wind speed and direction etc etc. Zaidi ya yote unatakiwa uwe na moyo mgumu, maana target yako unaiona kwa karibu mno wakati mwingine hata chunusi unaiona. Kazi hiyo inataka mazoezi ya muda mrefu.
Hizo kozi wanapigia wapi...? au mpaka uwe mjeshi...?