donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hahah mkuu wana kautaalam kao flan wakipiga hiyo flute nyoka anacheza mwenyewe tu!Weeeye acha kucheza na cobra akigonga hiyo pua atatupa na filimbi
Eti animal planet nikamuona mtu anambusu nyoka mweeee!!!
mamaaaa we unataka uparalaizi mdomo au?Mkuu nini animal planet mi mbona nawabusu sana pale snake park?
hahaha ni art tu mkuumamaaaa we unataka uparalaizi mdomo au?
ninataka nijifunze kucheza nao...