smss kuchelewa kufika

smss kuchelewa kufika

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,604
Reaction score
872
habari wadau. Nina tatizo kubwa, kuna mtu nachati nae mara nyingi via mobile sms lakini tatizo ni kua sms nikizituma au yeye akituma kuja kwangu zinachelewa kufika, zinaweza kukaa hata dk 20 ndo ikaonyesha delivery. Tumejaribu kufuta sms zote katika simu lakini wapi. N;B tatizo ni kwetu tu tukichat lakini nikimtumia au akimtumia na kutumiwa sms na mwningine zinafika on time. Msaada tafadhali
 
Moja ya mitandao yenu au eneo mmoja wenu alipo.
 
Back
Top Bottom