Professor X
Member
- May 29, 2020
- 45
- 60
Sawa nitaenda costech pale najua nipata walau pakuanziaShida ni kuwa umekuja kuuliza solution badala ya ku pose tatizo ili upate optima solution.
Ushauri wangu ni ule ambao wengi hatuupendi. Tafuta Consultant, mlipe akushauri.
Utaokoa fedha sana! Ukimfanya Google consultant get ready to pay the price too!
Kila la heri!Sawa nitaenda costech pale najua nipata walau pakuanzia