SMS za Kimahaba.

Hii ukimwandikia Penny money, Madame B, Demiss. Hapo hapo wanasema yes
 
Laiti kama mapenzi yangu kwako yangekuwa yanapimika hakika yangeshinda uzito wa mchanga wa dunia nzima,nimekuweka katika chumba cha moyo wangu nikafunga na kufuli kisha funguo nikatupa baharini ili ubaki humo milele kwa yakini wewe ni lulu nisiyoweza kuipoteza,ukiniuliza nimekupendea nn hakika sitakuwa na jibu la moja kwa moja ila kitu kimoja nina uhakika nacho ni kuwa I love you my angel from the bottom of my heart,My queen you are the most precious thing in my life I can't live without you, please stay with me till death do us apart, Mwaaah nakupenda zaidi ya jana mahabuba wangu.
 
Demiss, miss natafuta, miss chagga, Penny money, Madame B, Mrs vann, na wengine wengi. tafadhalini njooni muone sms za Kimahaba kutoka kwa kamwene
 
Imetisha.
 
Aiseee mwanamke apo lazima anyoshee mikono, full kusisimka mwili kila akisoma tena hiyo text
 
L
Message kama hii huwezi ituma ukiwa ushagegeda zaidi ya mara 4! Amini kwamba, hii ni ya kumlegeza manzi tu akuone upo deep kinyama kumbe unataka kumvua cost tu. Unafululiza kutuma week la kwanza baada ya kutuma maombi ukishaletewa papuchi ukaigegeda basi imeisha hio!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…