Laiti kama mapenzi yangu kwako yangekuwa yanapimika hakika yangeshinda uzito wa mchanga wa dunia nzima,nimekuweka katika chumba cha moyo wangu nikafunga na kufuli kisha funguo nikatupa baharini ili ubaki humo milele kwa yakini wewe ni lulu nisiyoweza kuipoteza,ukiniuliza nimekupendea nn hakika sitakuwa na jibu la moja kwa moja ila kitu kimoja nina uhakika nacho ni kuwa I love you my angel from the bottom of my heart,My queen you are the most precious thing in my life I can't live without you, please stay with me till death do us apart, Mwaaah nakupenda zaidi ya jana mahabuba wangu.