ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,051
- Thread starter
- #41
Hii ukimwandikia Penny money, Madame B, Demiss. Hapo hapo wanasema yesNaam nitaweza mama nakuahidi kukupenda kwa dhati ya moyo wangu mpaka siku pumzi itakapousaliti mwili wangu, Warembo ni wengi ila kwangu mama ni wa kipekee uzuri wako ni wa kipekee na hakika mungu hakukosea kukuumba ulivyo chonde chonde mama usijibadili kwani nimekupenda jinsi ulivyo na nimeridhika nawe, Wewe kwangu ni zawadi ya pekee niliyopewa na mungu na niahidi nitakutunza na kukulinda siku zote za maisha yangu, nakuomba uisadiki kweli hii na unipokee moyoni mwako laazizi.