BABU CHONDO
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 855
- 139
Umeitunga wewe
mwehu we!hebu kua siku mojaKiapo
Mimi ninaesoma meseji hii bila kushinikizwa wala kulazimishwa na mtu yeyote, kwa akili zangu timamu, na sintakuwa msaliti kwa moyo wangu wote bilaunafiki namuunga mkono EDWARD LOWASA kugombea urais mwaka 2015 na ninaahidi kumpigania kwa nguvu zangu zote maana ndiye mwenye maono ya kweli ya kuwasaidia watanzania maskini na wanyonge...eeh mwenyezi mungu nisaidie
Nakushukuru kwa kula kiapo
Kiapo

Naomba unisomee, mimi sijui umeandika nini.
wapi tindikali?Hili fisadi linasumbua sana watu!!
Hiyo sms yenyewe iko wapi?na inahusu nini?
Maana naona unamfagilia tu.
Kwa mtaji huu kila atakayeufungua huu uzi atakuwa ameapa apende asipende....