SMS Vs CALL

Unahangaikia unga, ujue mie ndio sufuria

Nikikugomea kukaa jikoni utajuuta kunifahamu

Wala sitajuta..si unaona marestaurant kila siku yanafunguliwa mapya..ni kwa ajili ya insident kama hizo endapo zinatokea...
 
Hawezi Ney anajua jinsi navyompenda alafu amefika kwene hili likitu langu ndo maana anailinda.. ehehehe

Endelea kujipa moyo..!!

Ila uwe unajibu msg zake bwana..!!

Na wakati mwingine wewe ndio uwe unaanza kum text..!!
 
Mmmh, mweupe kama uwanja wa shule

Ila shughiiliye tu, mie hoi
kwi kwi kwi kwi! anasimamia kitonga!! chezeiya wala ugali wa dona weye??? aminia my dada, kwa hapo mie kimyaaaaa, sina la ku-add!!
 
Umeona eeh

Wachache sana wanaoweza kumbatia mbuyu

Wengi kutwa nzima kuuzunguka

kwi kwi kwi kwi! anasimamia kitonga!! chezeiya wala ugali wa dona weye??? aminia my dada, kwa hapo mie kimyaaaaa, sina la ku-add!!
 
Kuna wakati SMS ina uzuri wake na raha yake wakati wa kutumia na kuna wakati Calls zina uzuri wake ...! Kikubwa ni kujua wakati gani wa kutumia SMS na wakati gani wa Ku-make Calls!
 
 

Fanya kazi acha kutumia simu kazini(wakati Wa kazi)
 
Kama unabeba kitimoto, basi fanya kazi baba

Ntakuwa nabip tu, usipopiga unaniona ofisini kwako na dera la zambarau

Hapana siku nyingine nitawabebea chipsi kuku au kiti...m...o....t..
 
he he heeeee, kuna rafiki zangu wakiniona nimeshika simu na tabasamu tu basi kila mtu anakula kona yake, maana wanajua kuongea nao ni mpaka zipite dakika 30 au saa nzimaaaaaa, si unajua tena mambo ya timing? sasa hapo kama nilikuwa napika ni mwendo wa kuzima jiko na kuendelea baadae, nilishaunguza mara 2, sina hamu tena
 
Kama unabeba kitimoto, basi fanya kazi baba

Ntakuwa nabip tu, usipopiga unaniona ofisini kwako na dera la zambarau

Hehehe...Kitimoto bana.... usihofu wangu...we deepu tu mimi ntakua nakutwangia....sms zinapoteza timing ya kupiga mkwanja....ofisi zetu wengine ni kama wallstreet ....
 
Jamani sms zina raha yake..!!

Nikuandikie msg saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni hujaiona? Haiwezekani..!!

Ukiichelewa kujibu saa moja, mawili nitaelewa lakini sio masaa yote hayo mweeeeh!!
kama sijajiunga na xtreme pack je?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…