Leo nimeamini kuiamini dini badala Mungu ni hatari.Kuna mtu aliwahi kusema dini ikikuingia sana ni hatari kuliko bangi.mhh,hapa kuna tatizo kubwa la upotoshaji wa historia,ninavyojua ni kuwa ili kuufikisha uislamu kutoka bara arabu hadi ulaya palitokea umwagaji damu mkubwa sana,wakristo walikuwa persecuted kwa kosa tu la kutoukubali uislamu,sasa mtoa mada angerudia historia yake aone nani mhanga wa kweli
Leo nimeamini kuiamini dini badala Mungu ni hatari.Kuna mtu aliwahi kusema dini ikikuingia sana ni hatari kuliko bangi.
mbona kathredi kamechafuka fasta hivi!
Msikiti wa hapa Pugu Kajiungeni wanasema ni stori ya kweli na Imamu ameapa kunyoa midevu yake iwapo itathibitika stori sio ya kweliIvi mpaka unaachia hii thread, uliangalia effects zinazoweza kutokea?
Anyway, hiyo story yako sio ya kweli...
Poa tu! Mimi naelekea kwenye kijiwe kupata ka-kilo ka kitimoto kwa castle bariiidi kumalizia siku! Nyie endeleeni na inferiority complexes zenu!
Leo nimeamini kuiamini dini badala Mungu ni hatari.Kuna mtu aliwahi kusema dini ikikuingia sana ni hatari kuliko bangi.
Takbiiiiiiiirrrrr