Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,232
- 3,334
Hizo meseji huwa zinankosea njia zinakwenda kwa wasiowanuia. Mfano kuna siku nilipokea sms inayosema X-MASS maana ni kama ifuatavyo. X-Maana yake mataifa kumi, MASS maana yake mkutano. Hii ikimaanisha mataifa kumi yalikaa tarehe kumi(X) yakahamua tarehe 25/12 iwe siku ya kusheherekea Christmass, hivyo waislam wasisheherekehe siku hiyo.Wamesahau kuwa X mass ni kifupisho cha chrstimass. Kwa ujumla ukisoma sms hizi utagundua kuwa wanaotumiana wamegubikwa na hali ya ujinga, ni propaganda za kitoto