*************************************
Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi:
Simu: Hellow una boy friend?
Mrembo: Ndio nine. Kwani we nani?
Simu: Mimi baba yako. Kumbe una boy friend ukirudi utanitambua. Simu ikakatika akiwa na mawazo nini afanye. Simu ikaita tena kwa namba ngeni.
Simu: Hello una boy friend?
Mrembo: Hapana sina!
Simu: Vipi mpenzi ina maana unanisaliti?
Mrembo: Hapana BABY nilijua baba!
Simu: Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boy friend. UTANIKOMA LEO!
*********************************
Fikiria ingemuwa baba yako ni Remmy Ongala, na mama yako Anne Makinda. Mjomba wako ni Mizengo Pinda na shangazi yako ni Anna Mkapa. Babu yako ni Stephen Wasira na bibi yako ni Bi. Kidude. Je sura yako ingekuwaje?
***********************************
Mwanasheria alimuuliza Lulu, Mbona wewe malaya sana? Lulu akajibu, Rose Muhando ndio malaya kwani Ameonja hadi Utamu wa Yesu. Mwanasheria akaguna!!
************************************
Mwalim: ee john, nitajie wanyama kumi wa porini.
John: simba watatu na tembo saba
UWONGO HAUFAI
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo form 4 Jangwani
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Ah! sorry nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana
Jamaa: Haa! Nilikuwa nakutania nachukua PhD IFM
Demu: Mh! Ina maana IFM imeanza kutoa PhD?
Jamaa: Ishia zako. Demu mwenyewe hulipi wala nini! Unauliza maswali kama tupo uhamiaji? KWA TAARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE!
Daah, uteja ni nouma! Nimeipenda hii...Teja kafunga ilipofika mchana swaumu ikambana akawa anasikiliza redio kipindi cha kuchagua nyimbo, akapiga simu redioni maongezi yakawa hivi;
DJ: nani mwenzangu, unaongea toka wapi na unataka nyimbo gani?
TEJA: yote hayo siyataki naomba unipigie adhana ya magharibi nifuturu toka asubuh sijashtua!
Duh! Hii safi sana, dat y mtu ukipata vidonda vya tumbo Tz cku izi ni vya kujitakia mwenyewe coz ukiwa na stress tu, unabovya blogs ka izi na kuanza kucheka, ka huna internet unasoma gazeti la katuni, ka huna unakaa jioni na bibi yako, ka huna unasikiliza kipindi cha bunge tu, yani utake usitake utacheka tu
kwa kwa kwaa hii kaliYupi anajua KUUCHUNA?
Juha:Nilimpgia cm mke wangu akapokea hakusema 'hallow! nikauchuna sikuongea mpk pesa zote zikaisha!
Zoba:Niligonga mlango mke wangu akafungua hakuniambia karibu nikasmama palepale mlangoni mpk kesho yake nikageuza nikaondoka.
Zuzu:Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenz, nimegoma kulala nae hadi leo miaka 6.
Wote wakamwambia: Wee muongo, mbona una watoto wawili?
Zuzu akajibu: mpaka leo sijamuuliza watoto ni wanani? NIMEUCHUNA tu.!
Mkristo kavamia futari
vyuuuuuuuup! Baada ya kula Sheikh si akamchagua asome dua ya kushukuru! Jamaa akatetemeka sana kwa kuogopa ila akajikaza kiume na kuanza kama ifuatavyo:
Jamaa: Ya Tawfiq
Watu: Amin
Jamaa: Ya Habib
Watu: Amin
Jamaa: Yaa Shabiby
Watu: Amin
Jamaa: Ya Abood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Hood
Watu: Amin
Jamaa: Ya Scandnavia
Watu: Mhhhhhhhhhh
Jamaa: Ya Dar Express
Watu: Aaaaaaaaaaaa, kamata tia bakora mwanaharamu huyu!
Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
Jamani mje mnipeleke hosp wewe na sister maana mbavu cna mwenzenu ..... da.. really u made ma day.Yupi anajua KUUCHUNA?
Juha:Nilimpgia cm mke wangu akapokea hakusema 'hallow! nikauchuna sikuongea mpk pesa zote zikaisha!
Zoba:Niligonga mlango mke wangu akafungua hakuniambia karibu nikasmama palepale mlangoni mpk kesho yake nikageuza nikaondoka.
Zuzu:Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenz, nimegoma kulala nae hadi leo miaka 6.
Wote wakamwambia: Wee muongo, mbona una watoto wawili?
Zuzu akajibu: mpaka leo sijamuuliza watoto ni wanani? NIMEUCHUNA tu.!