Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Sikuamini macho yangu jamaa alipokuwa ametabiri ushindi wa Germany. Ametabiri kwa usahihi muda wa goal na matokeo Germany 1 - 0 Argentina. Ni uchawi ama kipaji? Watangazaji wa Super Sport wabaki midomo wazi. Bila shaka hata wewe uliyeshuhudia utabiri huo uliduwaa! Hongera Ilan Smith.