ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,361
- 4,110
Wadau nimetoka kuongea sasa hv na smile,wao wamerahisisha tena na tena pamoja na kuwa wana spidi nzuri na uhakika japo bagamoyo haipatikani ,wametoa viwango vipya vya banlde zao nazo ni hizi hapa.
Igb ni shuilingi 17500,5 gb ni sh 42500 na 10 gb ni sh 80,000 tu ,ila wamefuta ile ya 2 gb na 3 gb.
Sasa kazi ni kwako
Igb ni shuilingi 17500,5 gb ni sh 42500 na 10 gb ni sh 80,000 tu ,ila wamefuta ile ya 2 gb na 3 gb.
Sasa kazi ni kwako