Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
695
KWA KUWAJALI WATEJA WANGU NA KWA KUZINGATIA HALI YA UCHUMI ILIVYONGUMU KWA SASA VUNJA BEI MATELEPHONE NIMESHUSHA BEI YA SIMU:

Sasa utajipatia smartphones za kisasa, Originals tu kwa punguzo la zaidi ya 35%.

NJOO TUWEZESHANE: Ujipatie Simu kali yenye ubora na mie nipate kafaida kidogo maisha yaendelee.
Mzigo unaingia kutoka S.A kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original 4G Lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed. Ikitokea ikakusumbua unarudisha unabadilishiwa japo haijawahi tokea simu zetu kusumbua.

# bei zangu ni za chini kabsa kuliko popote pale Dar es Salaam, Pia simu ni original na mpyaa na accessories zake zote.

Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @700k

Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 16GB @ 600k
Huawei P9 lite 32GB@650k
Huawei P9 64GB @ 1mil
Huawei Mate 7 32GB @600k
Huawei Mate 8 64GB @950k
Huawei Mate S 64GB @800k
Huawei G8 32GB @750k

LG G3 32GB @ 450k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650
LG G5 @950k

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
iphone 6s 16GB @1.1mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil

Samsung S5, 16GB @450k
Samsung J5, 16GB @400k
Samsung A5, 16GB @450k
Samsung J7 16GB @500k
Samsung A7 16GB @600k

Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil

Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
Hizo ni baadhi tu, kuna simu nyingi tofauti tofauti had za bei ya chini kabisa km Galaxy J2, Note 1, S4 na xperia z,
Pia nina TABLETS, laptops, PROJECTORS, original GLASS phone PROTECTORS, classic MOBILE CASES, covers, IPADS, original FAST CHARGERS na mobile BATTERIES.

OFFICE IPO Kariakoo karibu na Mataa ya Uhuru, kwa ajaye Dukani ukifika kariakoo piga namba 0654776976 utaelekezwa vizuri na kupokelewa .. Pia kwa Mteja wa hapa Dar es Salaam ukihitaji unaletewa hadi mlangoni ila kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa basi.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tumia 0654776976. Unaweza kubeep, kupiga, kutuma text au whatsapp. au wasiliana nami kupitia email: vieloon@gmail.com
1472803269271.jpg
1472803293839.jpg
1472803302419.jpg
1472803310729.jpg
1472803329119.jpg
1472803337959.jpg
1472803344749.jpg
1472803351619.jpg
1472803357329.jpg
1472803363159.jpg
1472803378619.jpg
1472803384419.jpg
1472803392839.jpg
1472803403229.jpg
1472803412329.jpg
1472803432699.jpg
1472803463819.jpg
1472803535545.jpg
1472803552279.jpg
1472803592589.jpg
 
dadavua kidogo kuhusu projector kama ulivyofanya kwenye simu mkuu
 
vp bei za jumlajumla kwa vifaa vya simu kama memory card,earphon,betr,cover,protector nk zinapatikana kwa bei ya kiwandani....
 
vp bei za jumlajumla kwa vifaa vya simu kama memory card,earphon,betr,cover,protector nk zinapatikana kwa bei ya kiwandani....
Hapana Mkuu...mie huwa nanunua mzigo kidogo wa vifaa halisi tu(original), na sichukulii china nachukulia SA, hivyo siuzi kwa jumla.
 
Wa mikoani unatusaidiaje
Mkuu huyu mtu hasaidii anafanya biashara.
Labda ww umemuelewa vibaya.
Huyu nimfanya biashara kama unataka kusaidiwa tafuta njia nyingine yakupata msaada wa bidhaa anazo uza hyu jamaa.
Labda kwa ushauri nenda ktk nyumba ya ibada ya imani yako uwombe wakuchangie pesa uje ununue bidhaa unayo taka.
Labda nikuulize ww unata nini ktk hizi bidhaa alizo tutangazia nione kama mm naweza kukusaidia?
 
Back
Top Bottom