smartphones from US

smartphones from US

Makuburi101

Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
10
Reaction score
17
Jamani mi Nina swali, ni simu gani zinapendwa huko nyumbani? Nina mpango wa kuleta affordable phones but higher quality. Any ideas please.
 
Attachments

  • Motorola-Moto-G-656.jpg
    Motorola-Moto-G-656.jpg
    15.9 KB · Views: 39
Swali lako ni general sana mkuu but kulijibu kwa ufupi ni kuwa simu zinazopendwa sana huku TZ ni zenye camera yenye pixel nyingi (above 5), kamera 2, watumiaji wengi ni marafiki na android Os... Ila how affordable is your price affordable?
 
Kuanzia kama ma $30(60000/-) hivi. Android and window phones.
 
Windows sio sana lete android zenye pixel kubwa kuanzia 8 to 16 mp
 
Tumia China principles: Lete simu yenye vitu vingi, android ila ya low Quality ambayo itakuwa na soko kubwa
 
Acha utakula hasara huku watu hawaangalii ubora. Huku kuna simu aina na aina kutoka china na majina yake ya ajabu ajabu watu wanajiripua tu.
VIWA, TECHNO nk.
 
Kuanzia kama ma $30(60000/-) hivi. Android and window phones.
Kwa price hiyo utapata soko... Watz wengi wanapenda slope hasa tunao kaa huku uswahilini. Wakishua wana mbwembwe nyingi we lete. Na me ntakua customer wako namba moja.
 
By the way ni vizuri ukaweka description ya hizo simu ili tuzitangaze.
 
Niletee aifoni yuzidi yoyote kwa bei isiyozidi laki moja
 
Unaweza niletea laptop mkuu, hp pro core i3, ila kwa $150, hivi
 
Back
Top Bottom