ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
hapa naanza kutilia mashaka data za xperia z kuuza 4.6m walitakiwa wawepo humumndengereko said:i love sony i wish it best of lucky
Masikini Nokia pamoja kuhama Symbian OS kwenda Window Mobile OS imeshindwa kuingia kwenye tano bora? hata kwenye cell-phone marketing hapa nchini soko alilokuwa analitawala, sasa linashikiliwa na Tecno.
q2 hii tuliyonayo kuna device kama lumia 520 na 720 ambazo ni cheap sana kwa market zake inamaana lumia zitazidi zaidi kupanda miez hii. estimation ni device 7.5 million so far nokia ipo safe
Nokia imepoteza muelekeo;
1. Walishindwa kuona mbali kwenye suala Android wakakwepa kujiunga na kambi ambayo sasa hivi waliojiunga wamepata mfanikio.
2. Imewachukua muda mrefu sana kugundua kwamba Symbian ni OS ya miaka ya tisini.
3. When it was too late, badala ya kujiunga na kambi mbili (Android na WP) wamechagua kujiunga na kambi mbovu inayoanza kujijenga (WP) badala ya kambi ya uhakika kwa mauzo ya leo sio kesho (Android)
4. Bado wame-focus kwenye feature phones, wameshindwa kuona kwamba wanaokaa kileleni ni wale wenye simu nzuri na sio tu simu za bei rahisi.
5. Nokia kwenye biashara ya simu imepoteza vision na strategy.
6. Hata kwenye WP camp; Flagship phone yao imeshindwa kutoa ushindani dhidi ya high end phones kama vile Samsung Galaxy au iPhone, na hapa ni pakubwa, haziwezi kushindana na hata HTC, LG au Sony
KIUJUMLA NOKIA IS A THING OF THE PAST, HAIWEZI TENA KURUDI ILIPOKUWA.They are not creative enough, they are not innovative enough andthey are who they use to be in 1990. They simply stack in the past.
No offence to any Nokia user but this is the truth. I'm sure if you pay iPhone 5 user or Galaxy S4 user halafu umpe sharti kwamba iPhone au Samsung yake aifungie mwaka mmoja na atumie Nokia ya bure basi hawezi kukubali. They are that poor.
zungumzia na hii Blackberry Z 10 yangu nayotumia , waiweka kundi gani kitaalamu