Smartphone ya 300,000

Smartphone ya 300,000

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
kwa shiling 300,000 je naweza kupata smartphone gani nzuri?

Nisaidieni wadau
 
Mkuu kuna Samsung Galaxy S Duos 2 GT-S 7582 ingawa bei kwa Mlimani City Samsung Shop inauzwa 370000/- ila zipo tu ambazo kwa pesa uliyonayo unapata mpya sana.
 
Mkuu kuna Samsung Galaxy S Duos 2 GT-S 7582 ingawa bei kwa Mlimani City Samsung Shop inauzwa 370000/- ila zipo tu ambazo kwa pesa uliyonayo unapata mpya sana.

zipo poa mkuu?
 
Chukua HUAWEI ASCEND Y530 unlocked kwa tsh 230'000.

mkuu mwl mshkaji wangu ameichukua hii juzi tigo arusha huku, kwa mafund wa huku bado hawajaweza kuziunlock, vp inawezekana kuziunlock?

me namshauri mdau achukue hii ni bonge la simu aisee
 
mkuu mwl mshkaji wangu ameichukua hii juzi tigo arusha huku, kwa mafund wa huku bado hawajaweza kuziunlock, vp inawezekana kuziunlock?

me namshauri mdau achukue hii ni bonge la simu aisee
Inawezekana kuifanyia unlocking bei yake ni tsh 25'000
Nipe IMEI number baada ya kufanya malipo.

Hiyo simu ni nzuli sana! ukilinganisha na bei yake.
Karibu
 
Inawezekana kuifanyia unlocking bei yake ni tsh 25'000
Nipe IMEI number baada ya kufanya malipo.

Hiyo simu ni nzuli sana! ukilinganisha na bei yake.
Karibu

Mwl. Vp simu used kotoka nje?
 
Tatizo la hiyo Huawei ni RAM tu. 512MB kwenye Android ni ndogo sana.

:focus: kama hutojali Lumia 520 mpya utapata kwa hiyo bei. Nokia X, X+ na XL pia unaweza pata (Ila si recomend sana Nokia X series coz nimesikia X project is done cc chief-mkwawa). Pia Lumia used kama Lumia 620, 630, 525, 720 unaweza kuzipata kwa mtu.

Kwenye Android, Huawei Ascend y300, Tecno nyingi tu, Motorola kadhaa pia zimo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom