Smartphone ya 300,000

Smartphone ya 300,000

Tatizo la hiyo Huawei ni RAM tu. 512MB kwenye Android ni ndogo sana.

:focus: kama hutojali Lumia 520 mpya utapata kwa hiyo bei. Nokia X, X+ na XL pia unaweza pata (Ila si recomend sana Nokia X series coz nimesikia X project is done cc chief-mkwawa). Pia Lumia used kama Lumia 620, 630, 525, 720 unaweza kuzipata kwa mtu.

Kwenye Android, Huawei Ascend y300, Tecno nyingi tu, Motorola kadhaa pia zimo.

Mkuu kwa laki 3? Ni wapi please nichangamkie tenda naona techno inazingua.
 
Nakupa s3 na replacement screen kwa laki 2 iko na shida kidogo unarekebisha kwa fundi vyote kwa pamoja nakupa kwa laki 2
 
Yeah I salute lumia japo hiyo 520 siitumii bt nahisi itakuwa nzuri kufuatana na cm nnayotumia ya lumia 1020,so nahisi itakuw nzuri na yenyewe ila tofauti ni bei tu.
 
Back
Top Bottom