SMARTPHONE, TECHNO H6 KWA TSH 95 ,000

SMARTPHONE, TECHNO H6 KWA TSH 95 ,000

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
978
Reaction score
1,835
Nauza simu yangu ninayotumia, haina tatizo lolote, nimeitumia mwaka 1. Mazungumzo kidogo yapo. Ninayo makao makuu (Dodoma) nicheki piemu.
 
Nimeshindwa kuipiga picha kwa sasa maana ndio naitumia kuperuzi humu..baadae nitafanikisha hilo.
 
Mhh mkuu hata dukani model hiyo imepotea mda sana zaidi ya miaka 2, ila ni simu nzuri
 
Back
Top Bottom