Nashkkuru mkuu nimekuelewa sanaZipo Nokia 6 mbili ya mwaka jana na mwaka huu
Ya mwaka jana ni snapdragon 430
Ya mwaka huu ni snapdragon 635
Sikushauri kununua ya mwaka jana ila ya mwaka huu ni nzuri.
Hilo box wameandika inatumia nougat 7.1.1 inamaana hio ni ya mwaka jana.
Ushauri wangu achana nayo unless anakuuzia chini ya laki 4.
Sasa hivi ndio best ukitaka simu zenye stock Android. Na zipo recomended sana na Google ukienda website ya Android. Na wameshaingia top 10 ya Mauzo tayari.Simu za nokia kwenye android ni kichefu chefu achana nazo kabisa
Mkuu kama hujui kitu chochote kuhusu nokia bora ukae pembeni.Simu ikishaitwa Nokia tu achana nayo mkuu. Nokia walifanya vzur sana kwenye Nokia Obama (tochi). Lkn hizi zinazotumia android system achana nazo...ni kwikwi.
Angalia wenzio wanachosema hapa: Nokia 6 - User opinions and reviews