smartphone gani ni nzuri

smartphone gani ni nzuri

mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini
  • Maelezo hayajitoshelezi mkuu.
  • Kwa mwingine bei ya chini ni kati 150k hadi 400k
  • Wakati kwa mtu mwingine ukisema bei ya chini anachukulia kati ya 350k - 600k
  • Hivyo ili ushauriwe vyema ni simu ipi ya kununua bora useme bajeti yako ni tsh ngapi.
Karibu
 
Smartphone ziko nyingi itategemea na bajeti yako tu
 
Back
Top Bottom