SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

smart chaji siku 2, du ukipata na mimi niambie aisee, la sivyo iwe kitochiphone inakaa wiki, hasa vile vi obama.
 
Haaaaaaaaaaaa waniangusha sasa, mie mwenyewe mafia risiti tu wala usihofu, sema tukazilie ubuyu na kachori au niaje,hofu ondoa maana kwa michambo mie mwenye PhD imelela ya michambo tu teh teh!

Ahhha hebu sie tukale ubuyu na.kachor kwa.hizo.hela.
 
Midfield acha kumpotosha mwenzako kwani kila mahusiano lazima yafikie ndoa na pia yanaweza fikia ndoa...mnapokua pamoja unatakiwa kumuhudumia kwakidogo ukipatacho mzaz ananafac yake mpenz pia
 
Hakuna hyo simu unayotaka wewe mradi ushasema smartphone bac chaji ni tatizo
Kwani huyo mrembo thamani yake pia ni ndogo?
 
Kamnunulie baba au mama yako upate thawabu kijana, acha kupoteza nguvu zako kwa girlfriend halafu kesho na keshokutwa mnamwagana unaanza kujuta. Kama ni mkeo sawa lkn siyo girlfriend. Au km vp hiyo hela peleka msikitini au kanisani
Maana nimeona like pekee haitoshi nashukuru kiongozi kwa ujumbe maridhawa kabisa kwa kijana huyu,
 
kwa matumizi ya kuingia internet saa 1, kupiga simu saa 1 na kuangalia video saa 1 simu kama lumia 1520, huawei ascend mate 2 na lg gflex zinakaa zaidi ya siku nne na charge.

ila kwa budget ya 125,000 sikushauri ununue smartphone maana haitakaa na charge.

labda utafute ile simu yenye kioo kisicho na rangi
 
#chief-mkwawa naona uko kimya kuhusu wageni wa apple,nini maoni yako?je tutegemee nini kutoka Nokia?
 
Nadhani smartphone, utakayomnunulia pembeni na Power Bank ya 15000 mAh
 
Back
Top Bottom