hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Sitacomment
Acha inipite tu hii kwa kweli.
Acha inipite tu hii kwa kweli.
Hakuna Smartphone inayokaa na chaji siku mbili 48 hrs toa hiyo fikra.
Maana nimeona like pekee haitoshi nashukuru kiongozi kwa ujumbe maridhawa kabisa kwa kijana huyu,
Hakuna Smartphone inayokaa na chaji siku mbili 48 hrs toa hiyo fikra.
hizo zinazokaa na chaji siku 3 uongo labda km huingii internet au unaingia na kutoka
Acha uongo Wewe, Lenovo P780 inakaa na charge hadi Sikh 4 ukitumia line 1 na siku 3 ukiweka line mbili. Ukubwa wa betri yake ni 4000mAh, ukiacha hiyo pia kuna Phillips W86000 inakaa mpaka siku 5 ,ukubwa wa betri yake ni 5600mAh .
Sema kwa bei hiyo ya mleta hoja itabidi akomae na Tecno tu.
Girlfriend anatakiwa awe na simu hata ya kukuzidi wewe mwenyewe sasa unataka simu ya 125,000 kamununulie TECNO
Kama unampenda kamnunulie Lenovo smartphone
chief-mkwawa hii lumi 1520 inapatikana kwa bei gan.?kwa matumizi ya kuingia internet saa 1, kupiga simu saa 1 na kuangalia video saa 1 simu kama lumia 1520, huawei ascend mate 2 na lg gflex zinakaa zaidi ya siku nne na charge.
ila kwa budget ya 125,000 sikushauri ununue smartphone maana haitakaa na charge.
labda utafute ile simu yenye kioo kisicho na rangi
chief-mkwawa hii lumi 1520 inapatikana kwa bei gan.?
laki 8 approximation
duh,kwa laki5 napata lumia gani ambayo itakua vzur kwa chaji
Si kweliNdio mkuu hizo siku 3 inabidi uingie na kutoka kwenye huduma ya intanet ila huduma za kawaida inazidi hata hizo 3