SmartPhone gani inakaa na chaji muda mrefu

Hamna utadanganyewa tu inategemea matumizi yako ya game,internet na kupiga na kupokea cm

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Acha uongo Wewe, Lenovo P780 inakaa na charge hadi Sikh 4 ukitumia line 1 na siku 3 ukiweka line mbili. Ukubwa wa betri yake ni 4000mAh

Na wewe pia acha uongo kwa mujibu wa gsmarena max battery life ya hii simu ni masaa 25. Hiiinamaanisha ukiwa unatumia na makorokocho mengine hapo ni masaa 12 tu.
 
Acha ubishi Wewe kwa kukariri, naongea hivyo siyo kwa kusoma kwenye internet kama wewe . Mimi ndiyo simu ninayoitumia hiyo lenovo P780 na ninachoongea ndiyo ninachokiona kwa almost mwaka mzima tangu niinunue. Usikariri nyambaaaafff!!
 
Samahani mkuu nisaidie bei ya hiyo lenovo p 780
 
Acha ubishi Wewe kwa kukariri, naongea hivyo siyo kwa kusoma kwenye internet kama wewe . Mimi ndiyo simu ninayoitumia hiyo lenovo P780 na ninachoongea ndiyo ninachokiona kwa almost mwaka mzima tangu niinunue. Usikariri nyambaaaafff!!

Matumizi yako itakua ni kupiga kupokea na sms teh
 
Brand ni nokia. Ndo zinajitahd kutunza. Mtaftie nokia asha 500. Ni nzur sana na imekaa kidemu zaidi. Ukienda android kila ukimpigia atakwambia simu kaicha chaji..teh teh
 
Back
Top Bottom