SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Duh! Mbona hakuna maelezo?
Duh! Mbona hakuna maelezo?
Maelezo yapo hapo juu. Ila nayo yako transparent!!
kweli kabisa mkuu!! yaleyale ya iphone 5concept phone
Maelezo yapo hapo juu. Ila nayo yako transparent!!
Hujawahi kuona simu ina battery? Hata desktop computer ina battery hebu niulize nikwambie kazi yake. Sent from my htc imeanza kuvuja wino nisaidieni using fingers.
weka source; pia tuambie ni kina nani waloitengeneza mkuu