Tatizo watu hawasomi, mtu anaona tu picha anakurupuka, source yake ina maelezo yote
mkuu ni prototype hata source yako inasema hvo so umekosea kusema imezinduliwa
nafahamu fika kazi ya betri ktk desktop,kaa ukijua desktop ina betri ili kutopoteza muda pindi inapokuwa off.
Ila huwezi kuniambia hiyo smartphone itatumia betri za ziada ktk operation zake. Wanajinadi tu,hawana lolote,hata technology ya micro component systems ambayo iphone wanaitumia bado itakula kwao. Ni mbwe mbwe tu!!!
Tatizo watu hawasomi, mtu anaona tu picha anakurupuka, source yake ina maelezo yote