Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,782
Natafuta simu tajwa hapo juu yoyote anayejua ataipata hata kwa dili au njia yoyote ..Ila iwe mpyaaaa!!!

Na ni ghali lakini budget yangu ni laki 5.

Interested karibu inbox.

Kwa picha cheki hapo chini.

images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiambiwa mwenye simu hiyo ameokotwa kwenye Kiroba mtaroni uwe tayari kujibia.!
Natafuta simu tajwa hapo juu yoyote anayejua ataipata hata kwa dili au njia yoyote ..Ila iwe mpyaaaa!!!

Na ni ghali lakini budget yangu ni laki 5.

Interested karibu inbox.

Kwa picha cheki hapo chini.

View attachment 996371

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda maduka ya airtel au vodacom utaweza pata. Mie nilinunua mate 9,airtel samora kama miaka miwili hivi
 
Back
Top Bottom