natural winner
Member
- Aug 26, 2014
- 80
- 19
Guys naomba ushauri wa simu gani kali ya kununua bajeti yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu.
Natanguliza shukurani
Natanguliza shukurani
Tecno Mkuu
Kuna kaharufu ka hela ya kujikim....
Nawaza tu
Mkuu hapana techo sitaki kabisa bora niongeze hako kaelatecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta
tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta
Guys naomba ushauri wa simu gan kali ya kununua bajet yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu...natanguliza shukurani
Huawei Y530
tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta
Thanx mkuu vp specs zake nione kama ntaipenda?
Kama umefika 300 kuna s3 mkuu
Sante mkuu vp specs zke hope itanifaa sana, additional qualities
Guys naomba ushauri wa simu gan kali ya kununua bajet yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu...natanguliza shukurani