Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Sasa hauna nyuma wala mbele nia inatangazwaje?Na wengine pia tangazeni nia jamani kwa sababu kuna akina sisi huku ambao sikukuu hii hatuna nyuma wala mbele tunategemea mazali kama haya!!
Sasa hauna nyuma wala mbele nia inatangazwaje?Na wengine pia tangazeni nia jamani kwa sababu kuna akina sisi huku ambao sikukuu hii hatuna nyuma wala mbele tunategemea mazali kama haya!!
Ukinionea kahuruma mara moja kwa mwaka siyo mbaya mkuu!!Sasa hauna nyuma wala mbele nia inatangazwaje?
Ohooo wanawake wanawahi kuchoka! Mara oohhh umri ukisonga wanakosa mzuka!!! Kasie yuko vizuri licha ya umri kusonga, wameanza eti damu inachemkia uzeeni!!! Kula maisha Kasie!! Love you Kasie!!!Ng'ombe hazeeki maini.....
Mpaka hapo ulipofika unataka kuonewa huruma?Ukinionea kahuruma mara moja kwa mwaka siyo mbaya mkuu!!
Nilipofika wapi?....sasa hivi nina ukame ambao siyo wa nchi hii kwa hiyo nakula mpaka mashemeji,kuwa makini sana kwa sababu sasa hivi sibagui wala sichagui!Mpaka hapo ulipofika unataka kuonewa huruma?

Hahahahahahahaa ila mpenz, mahaba ya hivi wajua naweza potea mazima hata kazini nisirudi heheheheheh kila nikisema sasa naondoka waapi kila nikanyanyuka nivae viatu waapi looh you rock. .!!
nilijua tu ukishamalizana nae one night stand utakuja na mwingine aya bna
zamu yangu inawadia kumkaza kasieaya mimi nakujua utakuja tu na mwingine soon
mimi nataka shoping tuSasa sie hatuendi VEKESHENI?
Sasa hauna nyuma wala mbele nia inatangazwaje?
Kasinde you made my day... you make me smile... napenda ulivyo muoga lakini bado unakubali...
hunipendi ?Polee.....
Karibu mpenz, niko kwa ajili yako kwa lolote utakalo, tabasamu utapata na pia ntakufanyia mambo mazuri hata kwako tabasamu halitakauka. Nimechizikajee....
Kiukweli kauoga kipo ila nikikumbuka tuu kuwa wewe ndo bing wa wangu, hofu na mashaka naondoka maana najua katika ya kifua chako umenikumbatia na mikono yako imenizunguka.....
Kasie mie nadata nshadata. .....
🙂🙂🙂
Haya embu lala sasa... usije ukashindwa kuamka... Kesho nitaangalia na muda kama tutatoka tena, kama kawaida... ila kaa ukijua amri zangu ni zile zile hazibadiliki, utaondoka pale nitakapoamua mimi, nashukuru kwa kutii hilo...
Nakuja unibembeleze usingizi uje kila nikifumba macho usingizi hauji. Nakuja ukisikia honi 3 ni mimi.
Ya kesho tunayaanzia usiku huu huu. ... kwako nimefunga breki ubishi sina, amri yako naitii.