Nataka tena mpenz..... asante kunipokea kwa huba na bashasha....
Usichat huku una drive njoo haraka, tuianze jumatatu kwa style ya pekee...Asante mahabuba wangu Smart911 kwako najificha maana najua usalama upo.
Nami ni wako daima dumu.....
kitu gani tena hiko?Wewe ni nani? Sidhani kama tunafahamiana. Sina chuki na mtu na nikimchukia mtu ni kwasababu flani..... kama umefanya kitu flani basi siwezi kuwa na urafiki nawe.
Ngoja nije inbobo tuyajengeKwani tunafahamiana? Chochote kile kibaya....ambacho hakipendezi machoni pa watu.
Are these shit real or chit chat?
Cant biliv what i see.......
C mon guys..
Does smart 911 aka king juliet own BMW?
Did you cum?Ok babe coming .....
Nani wa kumchukua huyo kibonge na ampeleke wapiHivi Miss Natafuta, bado tu hujapata?
Shemeji kwema? huyo mdudu ilitakiwa atangazwe ni janga la kitaifa anawatoa watu ufahamu na kufanya mambo kinyume na misingi yao.Genye mbaya sana.