Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we dada hebu kunywa maji kwanza shusha pumzi
Ghkaaaa!!!!!
Kwahiyo ile ya 2015 na yenyewe nilikuwa kama hivi hivi

Cc dark angel
Ile ilikuwa hatari shost.
Ya 2017 ndiyo Hatari nyingine.
Kuna udhaifu sehemu Fulani haiwezekani.
Halafu anavyojua kupamba unaweza ukasema ni wanaume wa maana. Anapamba huyo hatari hadi makande yanaonekana pilao kuku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Dah! Kali ya Jf hii [emoji23][emoji23][emoji23] hili sio kaburi, ni mgodi wa makinikia [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
 
Ile ilikuwa hatari shost.
Ya 2017 ndiyo Hatari nyingine.
Kuna udhaifu sehemu Fulani haiwezekani.
Halafu anavyojua kupamba unaweza ukasema ni wanaume wa maana. Anapamba huyo hatari hadi makande yanaonekana pilao kuku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Jomoniiiiiii
Hataricious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ohhooo ntakuchapa wewe

huyu mwezenu kanikalia kooni sana anadandia asivyoviweza ata mimbwa. Naona leo kaamka ananiwaza sana kama hana wa kumsitiri amtafute Smart911 au Saint Ivuga au akajitembeze barabarani aangaliwe uzuri wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aleppo weeee duh. Mbavu zangu huku mie.
Mwenzie na nani??? Aaqkhu. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom