Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
cc smart911 mahondaw umeachana nae uko na uyu saiz ???inakuwaje mzee mbn unao wengi sana smart911...
 
wakianchwa hawatanganzi....matangaNZO ya vifo
 
Humu wadad ni wambea wanajifanya ooh nyie wabaya jamani mnafukua makaburi,mara sijuii ni kumbe mnafurahi hapo mmepata cha kuongea
Mi kwa ushauri wangu jamani msiamini kila mtu anachopost humu mengine ninutani furahisha genge,,kwan hata mwanaume akiwa malaya nyie inawasaidia nini ,mahusiano sio lazima yaishie kwenye ndoa bana na msikariri,,mwacheni mahondaw kama ye anapata furaha kua na smart nyie hamuwezi mpa furaha hiyo
Mbona wanaume wengi ndio wapo hivyo sema ty wengine huqeka heshima mbele ,basi humu wadada watajifanya wanadate na malaika
 
Mahondaw tumelimis povu lako huku come around this chamber please
 
Mmh au mambo ya code paprika tena wapi tena huko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…