Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Kwa mistari hii we jamaa utatumalizia mabinti hapa JF? KHAAA!!
 
Uzuri mi nakuelewa sana. Bahati mbaya wengi hawakujui vizuri.

Babu anakutafuta ujue
 
Asprin mmmh hata kama nakupenda babe lakini haya ya kufukua makaburi nisije pata puresha mieeeee
Mtu mwenyewe uko jf toka 2008 makaburi mangapi sijui yako huko[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha
 
Masikini mtoto wa watu atakuwa anaufwatilia uzi ndani ya shuka leo dah

Cc trudie

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…