mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 909
Imegundulika kwamba LG Smart TV zinafanya upepelezi kwenye nyumba yako na kutuma habari LG makao makuu,,,,ukiweka USB yako habari zako zote zinatumwa kwenye LG server hata kama umeswitch off kitufe cha kukusanya habari (collection of viewing information off).Tv hizi hazitumi tu habari zilizo kwenye USB au External Devices,,bali hata kupiga picha nyumbani kwako na kurekodi mwenendo mzima wa maisha yako, ambapo unashauriwa kuwa kama una LG Smart TV chumbani kwako basi usiielekeze Kitandani kwako.Hali imekuwa ya hofu zaidi kwenye mahotel makubwa ambapo LG Smart TV zimefungwa,kwani hakuna siri tena ya kinachofanyika kwa kile kinachoitwa privacy invasion.LG Smart TV baada ya kuulizwa kuhusu madai ya TV zao kuingilia maisha binafsi ya watu,kupeleleza na kuiba habari na nyaraka wamesema kuwa hiyo ni sehema ya mkataba wao (Part of terms and conditions) na wao wanachofanya ni kutafiti ili kujua wateja wao wanapendelea vipindi gani vya TV (customers favorite TV programs).Kwa upande wa Samsung LED TVs na wao wana internal built in HD kamera ambayo inafatilia sura za watu na kutambua sauti zao.Samsung TV hawakuwahi kukanusha madai haya.

Note that you watch the TV and the TV watches you too.
LG Smart TV spying, owner claims his USB filenames posted on LG servers

Note that you watch the TV and the TV watches you too.
LG Smart TV spying, owner claims his USB filenames posted on LG servers