Android kwa bongo no doubt, kama ukiweza kuipata simu ya ZTE Blade ni nzuri sana sidhani kama kuna Android nzuri zaidi kwa bei hiyo (around $150) , Huawei Ideos ndo cheapest ($80 Kenya) ila sio nzuri, ukienda kwenye high end Android kama Samsung Galaxy S2 ni Sh. 1,000,000/= HTC Sensation ni 800,000/=