habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.
Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Ni majadiliano kwa manufaa ya wote, ndani ya ukumbi wa Nyerere.
Kuna kitu kizuri sana kinazinduliwa kuhusu afya ya jamii yaani TELEMEDICINE ambapo kutakuwa na mtandao wa mawasiliano wa kutoa huduma za afya kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini, tatizo la upungufu wa madaktari sasa basi na mgonjwa hana haja ya kusafirishwa kwenda mbali kutafuta huduma wala kukaa foleni kusubiri huduma.ELIMU MTANDAO GOES ON.
TUFUATILIE

Hii ndio taabu ya akili ndogo kuongoza kubwa. Huyo daktari yeye atakaa wapi ili aweze kuwafikia wote kwenye huo mtandao? Usijetudanganya kuwa sasa madaktari watakuwa wanachukua historia ya wagonjwa wakiwa waeunganishwa kama darasa!
Ili mfumo huo ufanikiwe ni lazima kuwe na madaktari wa kutosha ambao wanaweza kugawanywa kulingana na specialisation zao. Daktari mmoja akiwa kwenye mtandao, atawasilina na mgonjwa yupi ndani ya wagonjwa 500 wanaohitaji huduma yake kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania?
Ni vyema kutafakari kabla ya kujilisha upepo!!!!!
sisi tunataka maji hiyo telemedicine mwachie Obama tu wewe pumbavuwapo marais kenyatta uhuru, rais wa malysia, rais wa uganda, lesotho, msumbiji
Masaburi yupo?wapumbavu kama wewe ndio mzigo ktk hii nchi, get an info if u find mistakes sahihisha for the benefits of the members.
Kachote baharini hayo maji unayotaka.sisi tunataka maji hiyo telemedicine mwachie Obama tu wewe pumbavu
ndoto za alnata ata 2005 JK alisema umaskn na tatzo la ajra litakua hstoria kumbe wap hzo sanaa za vjana wa lumumbaKwa wale walio mbali na TV unaweza kuona kupitia live stream hapa Smart Partnership Global Dialogue 2013