Smart Nun.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(Sista Benadeta akimsimulia sista Marieta yaliyomsibu alikotoka).>>>>> (SISTA BENADETA):Basi bwana,nikawa nikiongeza mwendo na yeye anaongeza,kila kona ninayokata na yeye yumo,nikajua ana malengo mabaya na mimi a.k.a anataka kunibaka.>>>>> (SISTA MARIETA):Ukachukua uamuzi gani dadangu?>>>>> (SISTA BENADETA):Si ndo nikaanza kutimua mbio,lakini kwa sababu yeye ni mwanaume akawa anazidi kunikaribia kwa kasi,nikaamua kumkomoa,nikapandisha gauni juu kabisa na yeye akashusha suruali na chupi yake chini magotini.>>>>> (SISTA MARIETA):Hapo ndo patamu,enhe nambie kilichofuata? (SISTA BENADETA):Si unajua tena,mwanaume aliyeshusha suruali na chupi hadi magotini haweza kukimbia sawa na mwanamke aliyeinua gauni juu....kwa hiyo nilimshinda mbio na ndo maana nimefika salama hapa.
 
(MUUZA CHOCOLATE);Sista,hii chocolate niikate vipande 12 au 6? (SISTA DUU);Mh! nikatie vipande 6,vikiwa 12 thiwezi kuvimalidha!
 
(Demu akiwa na mshkaji wake,akawa anaagiza misosi na vinywaji vingi vya gharama kubwa sana).>>>>> [MSHIKAJI];My dear mbona unaagiza misosi na vinywaji vingi vya gharama,kwani ukiwa na mama yako nyumbani huwa unakula hivi au unataka kunikomoa?. [DEMU];Mama yangu huwa hana appointment ya kulala na mimi baada ya kula chakula!
 
Je,unataka kuwa wa-kwanza darasani?fanya yafuatayo;Amka saa 11 kamili asubuhi>>Kunywa chai au kahawa>>Wahi darasani kabla ya saa 12 asubuhi>>Hapo utafanikiwa kuwa wa-kwanza darasani kwa sababu hutamkuta mtu darasani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom