Mi mwenyewe nimeona anajichanganya huyu.. Anachoongelea ni digital camera sio smart camera..
Niliiona moja kwenye samsung store nchi za watu huku ina 32.1 megapixel, 3g, operating system, connect share, wide color enhcr, ina 16gb internal memory... Bei ni usd 500...
Sasa hiyo smart camera gani hata ku zoom iwe shida...
Hebu mwambie a google smart camera ili aielewe vizuri..
This is a smart world as kuna smartphone, smart tvs, smart camera na mengineyo kibao yanakuja nyuma ya neno smart..