Small coffins are the heaviest

Small coffins are the heaviest

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
552
Reaction score
1,306
Small coffins are the heaviest.

Emotions overcome a mother as she lays to rest her children who perished in a fire incident at home.
IMG_20210822_211506.jpg
IMG_20210822_211508.jpg
IMG_20210822_211511.jpg
 
Small coffins are the heaviest.

Emotions overcome a mother as she lays to rest her children who perished in a fire incident at home. View attachment 1903728View attachment 1903729View attachment 1903730
Mambo mengine ni vigumu kuyajua. Neno linasema "tumshukuru Mungu kwa kila jambo" kwa sababu wewe kama mwanadamu hujui kitu chochote kwenye vitu vingi na inabidi kumwachia Mungu ndiye anajua.

Huyu mama aliyefiwa ukisoma kwenye mtandao, inasemekana amehamia kwenye hiyo nyumba iliyoungua kama miezi mitano iliyopita.

Na nyumba aliyokuwa anaishi kabla iliungua moto.

Sijui ni kwanini aliwaacha watoto peke yao bila uangalizi. Dah!
 
Too sad...naomba link ya hyo habari niisome.
 
siku ile wale watoto wa saint vicent 35 wamefariki,wakati wanaangwa uwanjani.kuna mwanaume mmoja aliyekuwa baba wa mtoto mmoja wao,alilia mpaka anagalagala akisema"ntaiweka wapi sura yangu mimi"

mtoto anauma jaman[emoji24].
 
Mauti ni fumbo gumu mno.
 
Too sad...naomba link ya hyo habari niisome.
Pole sijakujibu kwa wakati. Nadhani sheria za JF haziruhusu kuweka link. Lakini search tu google, 5 kids die in fire US. Lazima utapata option ya hii habari.
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
It's havoc.....

Jim Reeves once sang "oh Lord ,I have no friend like you and the world is not my home"

May their lives be a blessing!

RiP amen🙏
 
kwamba watoto wote 5 ni wa familia moja??😓😓😓
 
Back
Top Bottom