Slow jams - pini ipi ilikubamba

Ngoja nipumzike kwa mbaali nikimsikiliza Enya.
Now playing...
Amarantine by Enya mwenyewe.
Anakwambia hivi

"You know when you give your love away
It opens your heart,
Everything is new.
And you know time will always find a way
To let your heart believe it's true.

You know love is everything you say;
A whisper, a word,
Promises you give.
You feel it in the heartbeat of the day.
You know this is the way love is."
 
Keith Sweat - Twisted
Huu wimbo unanikumbusha mwaka 1996 niko darasa la nne. Kuna bro mmoja hivi jirani yetu alitafuna mabinti wengi sana wa sekondari kiasi kwamba kina mama wakawa wanamjadili ni kijana wa aina gani huyu? Kwenye geto lake alikuwa akiweka sana huo wimbo. Nikajisemea nikiwa mkubwa nataka niwe kama Kaka Frank. Huku ukubwani ndo nikaja kugundua nilikuwa mpuuzi sana kuwa na ndoto ya kuja kuwa mshenzi maana niligundua jamaa hakuwa na kitu zaidi ya kuwekeza kwenye muonekano wake tu kwa maana ya nguo na viatu.
 
Hahahahahah mnyamwezi😀
 
A world of our own
Ni sound track ya movie blue lagoon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…